RAIS wa Zanzibar Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi kuendelea kuimarisha amani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi kuendelea kuimarisha amani kwa azma ya kuleta maendeleo nchini. Alhaj Dk. Mwinyi ameyasema hayo leo alipokuwa akitoa salamu zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na wananchi wote mara baada ya Sala ya Ijumaa huko katika Msikiti wa